
Kanuni za kutoboa Chan 2024
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limezianika kanuni za mashindano ya CHAN 2024 upande wa kusaka timu mbili kutoka kila kundi zitakazofuzu hatua ya robo fainali. Mashindano hayo yanayoshirikisha jumla ya timu 19 ambazo zimegawanywa katika makundi manne, yalianza Jumamosi ya Agosti 2 mwaka huu kwa mchezo wa ufunguzi kati ya wenyeji Tanzania dhidi ya Burkina…