
Mwanza yapaa Kriketi Kanda ya Ziwa
JITAHADA za Chama cha Kriketi kuhakikisha mchezo huo una vipaji bora nchi nzima zinazidi kuzaa matunda na hivi karibuni mchezo huu umejenga mizizi mikoa ya Kanda ya Ziwa, Ligi ya Vijana chini ya miaka 17 ndiyo shuhuda wa mafanikio ya kriketi kanda hii na mbabe wa michuano akiwa Mkoa wa Mwanza. Taarifa ya Chama cha…