Ushindi wa Stars wampa Morocco matumaini kibao

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema ushindi wa kwanza wa timu hiyo wa michuano ya CHAN umetoa mwanga mkubwa wa kikosi hicho kufanya vizuri zaidi. Kauli ya Morocco, inajiri baada ya timu hiyo kuanza vyema michuano ya CHAN kufuatia kuifunga Burkina Faso mabao 2-0, katika mechi ya kwanza ya ufunguzi iliyopigwa kwenye…

Read More

Fei Toto: Watanzania wamefurahi | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema ni fahari kwa kikosi hicho kuanza vyema fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN), baada ya  ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina Faso. Stars imepata ushindi huo wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa…

Read More

UBUNIFU WA KISAYANSI SUA WAMVUTIA MHE. PINDA NANENANE 2025

Farida Mangube, Morogoro  Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda, ametembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, mkoani Morogoro, na kuvutiwa na ubunifu na teknolojia mbalimbali zinazolenga kuboresha kilimo na maisha ya wakulima. Katika ziara hiyo, Mhe. Pinda alipokelewa na Makamu Mkuu…

Read More

Kocha mpya Yanga ashuhudia mavitu ya Mzize Stars

KOCHA mpya wa Yanga, Romain Folz ni miongoni mwa watu waliofika katika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa ufunguzi kati ya Tanzania na Burkina Faso katika ufunguzi wa mashindano ya CHAN. Kocha huyo ameambatana na benchi lote la wasaidizi wake ambao ni kocha wa makipa, mkurugenzi wa benchi la ufundi na kocha wa viungo wote…

Read More

“Hakuna mtu anayepaswa kulazimishwa kuhatarisha maisha yao kupata chakula,” anasema shirika la umoja wa kibinadamu – maswala ya ulimwengu

Kunyimwa kwa miezi mingi ya bidhaa za msingi za kudumisha maisha kumesababisha kuongezeka kwa shida. Zaidi ya watu 100 waliuawa, na mamia ya wengine walijeruhiwa, njiani za chakula na karibu na vibanda vya usambazaji wa Israeli katika siku mbili zilizopita. Kama mtu mmoja kati ya watatu kwa sasa huenda siku bila chakula, Ocha alisisitiza kwamba…

Read More

Indonesian yaahidi kushirikiana na Tanzania kuboresha sekta ya Kilimo

Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mheshimiwa Tri Yogo Jatmiko amesema Indonesia itaendelea kushirikiana na Tanzania kujengeana uzoefu katika Utafiti wa Kilimo ikiwemo Matumizi ya Teknolojia ya kutengeneza mvua ili kuepuka changamoto za utegemezi wa mvua katika Kilimo. Balozi Jatmiko amesema hayo Leo Agosti 02, 2025 alipokuwa katika Banda la TARI kwenye maonesho ya Nanenane viwanja…

Read More