Wataja mbinu kuboresha elimu watu ya  wazima

Dar es Salaam. Wataalamu mbalimbali wa elimu nchini wametoa mapendekezo manne ya kuboresha Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania (TEWW). Miongoni mwa mapendekezo hayo ni pamoja na Serikali kuandaa waraka utakaowasaidia wanafunzi wanaotoka nje ya mfumo rasmi wa elimu, kurudi kwenye masomo kupitia taasisi hiyo kwa lazima. Pia, wamependekeza Serikali kuandaa waraka wa elimu…

Read More

CAG AFANYA ZIARA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO

Na Hamis Dambaya, Ngorongoro. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu  za Serikali Bw. Charles Kichere  ametoa wito kwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na kushirikiana ili kulinda matumizi sahihi ya rasilimali za umma. Akizungumza na menejimenti ya Ngorongoro, Kichere amesema njia pekee ya taasisi kufanya…

Read More

CCM YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2025

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.  

Read More

Wasira: Waliompinga Samia walikuwa na hofu ya mabadiliko, masilahi yao

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema wingi wa watu waliojitokeza katika uwanja huo unadhihirisha kuwa CCM ina uwezekano wa kuendelea kukamata dola.  “Sasa nawauliza wanaotaka dola kutoka kwetu wataipata? Wataweza? Wataweza kweli… lakini hatuwezi kuongelea wenyewe lazima tupate watu wa kutusindikiza, kwa hiyo tunawakaribisha wasindikizaji wetu lakini tunawaambia tumejiandaa…

Read More

Matukio ya ajali za moto yaliibua Jeshi la Polisi Lindi

Lindi. Wakati matukio ya ajali za moto yanayohusisha watoto yakiendelea kuripotiwa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi limesema kuanzia Januari hadi Agosti 2025, kumeripotiwa matukio 10 tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo, Alhamisi, Agosti 28, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amesema matukio ya ajali za moto yamekuwa yakijirudia…

Read More

Wadau waonyesha njia kukabili tatizo la ajira

Arusha. Ufanisi mdogo wa vitendo katika utendaji kazi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini, umeelezwa kuwa moja ya kikwazo cha vijana kushindana katika soko la ajira, ndani na nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa leo, Alhamisi Agosti 28, 2025, jijini Arusha na Mhadhiri na Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi…

Read More