
SERA ZA AIDANI KWEZI GUMZO SEGEREA, WAPAMBE WAANZA UPOTOSHAJI
::::: Kinyang’anyiro cha kupata mgombea ndani ya Chama cha Mapinduzi kimezidi kupamba moto, wakati wagombea wakiendelea kujinadi na kuomba kura kwa wajumbe ndugu AIDANI KWEZI amendelea kufanya vizuri kupitia Sera zake zikionekana kugusa mahitaji ya Wanasegerea. Hali hii imepelekea wapambe wa wagombea wengine kuanza propoganda za upotoshaji wakiona mwitikio na imani ya wajumbe juu ya…