
TRA YATOA MSAMAHA WA KODI KWA WAMILIKI WA MAGARI YASIYOKIDHI MATAKWA YA FORODHA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa msamaha wa kodi kwa wamiliki wa magari yasiyokidhi matakwa ya forodha kwa kipindi cha kuanzia Agosti mosi hadi Disemba 31 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TRA leo Agosti Mosi Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Kamishna Mkuu Bw. Yusuph Juma Mwenda imeeleza kuwa katika kipindi…