
TADB YACHANGIZA MAGEUZI SEKTA YA KILIMO NCHINI
Na Mwandishi wetu, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita imefanikiwa kuleta mapinduzi ya kilimo kwa vitendo kupitia mikopo yenye riba nafuu na uwezeshaji wa wakulima wadogo na wa kati kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Hayo yamesemwa leo Agosti 1, 2025 katika viwanja vya NaneNane jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya…