
NDANI YA MUDA MFUPI HATUTAAGIZA BIDHAA KUTOKA NJE :DKT JAFO
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selamani Jafo, amesema kuwa ndani ya muda mfupi Tanzania haitahitaji tena kuagiza bidhaa muhimu kama mabati, vioo, nondo na saruji kutoka nje ya nchi, kutokana na ongezeko la uzalishaji wa bidhaa hizo nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Jafo tarehe 31 Julai 2025 wakati wa ziara ya Mheshimiwa…