Rayvanny aibua shangwe ufunguzi CHAN 2024

DAKIKA chache kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya wenyeji Tanzania dhidi ya Burkina Faso uliofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rayvanny ameibua shangwe kwa mashabiki. Staa huyo ameingia uwanjani kutumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo akiimba wimbo wa Kitu Kizito aliomshirikisha Misso Misondo na kuibua vaibu kubwa…

Read More

NIRC yaja na Teknolojia Mpya za Umwagiliji Nane Nane Dodoma, 2025

……………. 📍NIRC:Dodoma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)imewasilisha teknolojia mpya za kisasa za umwagiliaji katika kijiji cha Mitambo kwenye maonyesho ya nanenane Dodoma. Teknolojia hizo ni pamoja na mitambo ya umwagiliaji kwa njia ya mvua (CENTER PIVOT), mashine za uchimbaji wa visima, mabwawa na umwagiliaji kwa njia mbalimbali ikiwemo za matone, lengo ni kutoa elimu…

Read More

Morocco ataja jeshi la kuivaa Burkina Faso, Mzize aachiwa msala

KOCHA wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, ametaja kikosi cha nyota 11 watakaoanza katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya CHAN 2024 dhidi ya Burkina Faso. Katika kikosi hicho, Clement Mzize atakuwa anaongoza mashambulizi, akishirikiana na Abdul Suleiman ‘Sopu’ na Iddi Seleman ‘Nado’ watakaotokea pembeni huku Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiunganisha safu ya kiungo cha…

Read More

Stars kusaka rekodi mpya CHAN 2024

WAKATI ikibakia saa chache kabla ya kushuhudia mechi ya ufunguzi wa michuano ya Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 kati ya wenyeji timu ya taifa ya Tanzania maarufu Taifa Stars dhidi ya Burkina Faso, kikosi cha Stars kinaingia kusaka rekodi mpya kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Rekodi ambayo…

Read More

Azam FC, Yanga zaingia vitani

INAELEZWA kwamba uongozi wa Azam na Yanga umeingia katika vita nzito baada tu ya usajili wa beki ambaye pia ana uwezo wa kucheza kiungo mkabaji, Abubakar Nizar Othman ‘Ninju’, aliyesajiliwa na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025 akitokea JKU SC ya Zanzibar. Ninju ametangazwa rasmi kujiunga na Yanga ambapo usajili wake…

Read More