
Kwa dau hili la la Kante! Simba imedhamiria…
SIMBA juzi usiku ilimtambulisha kiungo mshambuliaji Alassane Kante kwa mkataba wa miaka miwili, lakini usichokijua ni nyota huyo kutoka Senegal ameikamua klabu hiyo mkwanja wa maana. Kante ni mmoja ya nyota wapya waliosajiliwa na Simba kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano wa…