Opah anaendeleza uthubutu kwa wanawake
BAADA ya kutumikia timu ya wanawake ya FC Juarez kwa msimu mmoja, juzi nahodha wetu wa Twiga Stars, Opah Clement alijiunga rasmi na SD Eibar ya Hispania. Ni uhamisho ambao hapa kijiweni umetufurahisha sana kwa vile kwanza anaenda katika nchi ya kisoka hasa ambayo ina moja kati ya ligi bora za soka za wanawake. Baadhi…