
Wanaotarajia kusoma elimu ya juu wakumbushwa kuzingatia soko la ajira
Pemba. Wanafunzi wanaofanya usaili kujiendeleza na elimu ya juu, wametakiwa kuwa makini katika kuhakikisha wanachukua fani zinazoendana na soko la ajira. Ushauri huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia kutoka mkoani Mbeya, Dk Faston Mayala katika maonyesho ya wiki ya elimu ya juu yaliyofanyika Gombani Kisiwani Pemba. Amesema Serikali ya Jamhuri…