
Wakazi wa Mbezi, Kimara kupata ahueni ya foleni
Dar es Salaam. Wakati wakazi wa Mbezi na Kimara wakikumbana na adha ya foleni, Serikali imesema ujenzi wa njia nane katika Barabara Morogoro kutoka Ubungo – Kimara yenye urefu wa kilomita 5, umefikia asilimia 60. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Agosti Mosi, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati Rais wa…