
PROFESA MSOFE ARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA NEMC
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Profesa Peter Msofe ameonekana kuridhishwa na utendaji kazi na uwajibikaji wa watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika utekelezaji wa majukumu ya Mazingira hasa usimamizi wa utekelezaji wa Sheria ya Mazingira Nchini. Hayo yamedhihirika wakati alipotembelea Ofisi za Baraza jijini…