
Simba yampa miwili kiungo Mkenya
SIMBA inaendelea kushusha vyuma kwa ajili ya msimu ujao na safari hii imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Ulinzi Starlets, Fasila Adhiambo kwa mkataba wa miaka miwili. Huu utakuwa usajili wa nne kwa Simba Queens baada ya kukamilisha usajili wa beki wa Yanga Princess, Asha Omary, mshambuliaji kutoka Rwanda, Zawadi Usanase na kipa Mganda, Ruth…