
Msimamo wa wajumbe Kigamboni, Ilala kuwapata mbunge sahihi
Dar es Salaam. Wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Kigamboni na Ilala, wamesema watatumia turufu ya kura zao kutoa nafasi kwa mtiania mmoja wa ubunge na wa udiwani kwa kuzingatia uwezo wa kutatua changamoto zao. Mbali na hilo, wameapa kutohadaika na kauli na maneno matamu ya wagombea, kwa kuwa wengi wao kujenga…