
NEMC YAELIMISHA UMMA KUHUSU KILIMO RAFIKI KWA MAZINGIRA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE
Na.Mwandishi Wetu. BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki kikamilifu katika Maonesho ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma, likitoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda na kuhifadhi mazingira kupitia kilimo rafiki kwa mazingira. Kupitia banda lake, NEMC inatoa elimu kuhusu masuala mbalimbali ya mazingira, ikiwa ni…