DKT. ASHATU KIJAJI AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KONDOA
…………… Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kondoa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Ashatu Kijaji, amesema hana mashaka na ushindi wa chama chake katika uchaguzi ujao kutokana na kazi kubwa aliyoifanya kwa kushirikiana na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta mbalimbali tangu aingie madarakani. Dkt. Kijaji ameyasema hayo leo Agosti…