
Siri ya kuishi na wakwe wakorofi
Maisha ya ndoa huambatana na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa ni uhusiano kati ya mtu na wakwe zake. Wakati mwingine, wakwe huwa baraka kubwa katika maisha ya wanandoa, lakini kuna hali ambapo baadhi ya wakwe huwa wakorofi, wakivuruga amani ya familia. Makala inachambua mbinu mbalimbali ambazo mtu anaweza kutumia kuishi kwa amani na wakwe wenye tabia…