
WANANCHI LAZIMA WANUFAIKE NA UWEKEZAJI- MHE. MCHENGERWA
“Hadi sasa kwa jitihada tulizozifanya mimi na Serikali yetu matunda yameanza kuonekana kwani tayari wawekezaji wakubwa katika eneo la viwanda vikubwa wameomba kuja kuwekeza kilichobaki ni kusimamia ili tuweze kuwapa fursa za ajira ambazo wameshaahidi kuzitoa kwa vijana na akina mama”. Amefafanua Mhe. Mohamed Mchengerwa Amesema katika kipindi chote akiwa Mbunge wa Rufiji amebeba ndoto…