
WANAJAMII MTWARA WAAPA KUPAMBANA NA NDOA ZA UTOTONI
Kivutio cha Mtwara Na Mwandishi wetu, Mtwara Wanajamii wilayani Mtwara vijijini wameahidi kuendelea na harakati za kupambana na ndoa za utotoni ili kumkomboa mtoto wa kike na kumuwezesha kwenda shule. Wito huo umetolewa kijijini Nkunwa, wilayani Mtwara vijijini, leo wakati wakitoa maazimio ya kufunga mdahalo wa kijamii ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) pamoja…