
Jengo jipya kuboresha miundombinu ya utafiti Tanzania
Dodoma. Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imesema ujenzi wa jengo jipya jijini Dodoma ambalo linagharimu Sh8 bilioni ni sehemu ya mikakati ya Serikali kuboresha miundombinu ya utafiti na ubunifu nchini. Mwenyekiti wa COSTECH, Profesa John Kondolo ameyasema hayo jana Ijumaa Agosti 1 2025 wakati alipokuwa akikagua jengo hilo ambalo litakuwa ni makao makuu ya…