
TAASISI YA NGUVU YA ATOMIC TANZANIA KUBORESHA UZALISHAJI WA KILIMO
::::::: Na Ester Maile Dodoma Katika juhudi za kuboresha uzalishaji wa kilimo na kupambana na changamoto za njaa, Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo Zanzibar kwa kushirikiana na Taasisi ya Nguvu ya Atomic Tanzania (TAEC) wameanzisha mradi wa kuzalisha mbegu bora za mpunga, zilizoboreshwa kwa kutumia mionzi ya nyuklia, zinazoongeza mavuno kwa kiasi kikubwa…