
Masaibu ya wasomao vyuo na umri mdogo
Dar es Salaam. Wakati idadi zaidi ya vijana wakjiunga na elimu ya juu, wito umetolewa kwa Serikali kupitia mamlaka zake husika kuweka mkazo zaidi katika maandalizi ya kisaikolojia na kitaaluma, kwa wanafunzi wanaotoka moja kwa moja kidato cha nne kwenda vyuo vya elimu ya juu. Wataalamu wa elimu, saikolojia na malezi wanasema vijana hawa wengi…