
Beki Yanga amlilia Jonathan Sowah
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Jonathan Sowah ameshaanza mazoezi akiwa na kikosi cha timu hiyo kilichopo Misri, lakini kuna beki mmoja aliyewahi kukipiga Yanga ameshtushwa na kuumizwa juu ya kutua huko badala ya Jangwani na kusema timu hiyo isipojipanga ijue mapema itaumia kwake. …