
Mchakato wataka Urais CUF moto
Dar es Salaam. Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) imekamilisha mchakato wa kuwahoji watiania wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku baadhi ya waliopitia mchujo huo wakieleza kuwa maswali walioulizwa yalikuwa magumu na yenye mitego. Miongoni mwa waliotia nia ya kuwania nafasi ya urais, Kiwale…