
LIWAKA AMGARAGAZA MASALA KURA ZA MAONI UBUNGE LA NACHINGWEA
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Liwaka ameongoza kura 4703 za wajumbe jimbo la Nachingwea za kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ubunge wa jimbo hilo. Mpinzani wake mkubwa, Hassan Massala amefuatia kwa kuwa na kura 3307. Jumla ya kura zote: 11978 Kura halali zilizopigwa: 9471 FADHILI…