
Mashujaa yaipiku Singida kwa Mgunda
MASHUJAA imeshinda vita ya kumwania mshambuliaji Ismail Mgunda aliyekuwa akihitajiwa na Singida Black Stars na mabosi wa pande zote mbili wamefunguka kila kitu kuhusu usajili huo. Hapo awali, Mgunda aliwahi kuichezea Singida kabla ya kutimkia Mashujaa aliyokuwa akiichezea mwanzoni mwa msimu uliomalizika kisha kwenda AS Vita ya DR Congo. Ikadaiwa alisaini Singida mara aliporejea kutoka…