Majaliwa atembelea banda la Yas Nanenane

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea banda la kampuni ya Yas katika Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea kwenye viwanja vya Nzuguni jijini hapa. Akiwa katika banda hilo leo Agosti 4, 2025, Majaliwa alipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati, Charles Gasper kuhusu namna kampuni hiyo inavyowawezesha wakulima kupitia…

Read More

Mchakato wataka Urais CUF moto

Dar es Salaam. Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) imekamilisha mchakato wa kuwahoji watiania wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku baadhi ya waliopitia mchujo huo wakieleza kuwa maswali walioulizwa yalikuwa magumu na yenye mitego. Miongoni mwa waliotia nia ya kuwania nafasi ya urais, Kiwale…

Read More

Hukumu rufaa Kocha Katabazi dhidi ya TFF yasogezwa mbele

Hukumu ya rufaa ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya  Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), kupitia bodi yake ya wadhamini, sasa kutolewa Septemba 26, 2025. Hukumu hiyo ilipangwa kutolewa leo Agosti 4,2025 na Jaji Butamo Phillip aliyesikiliza rufaa hiyo. Hata hivyo imekwama kwa kuwa Jaji Phillip aliyepaswa kuisoma hukumu hiyo hakuwepo.Badala yake imeahirishwa na…

Read More

Upelelezi waiva, wanaodaiwa kusafirisha kilo 332 za ‘unga’

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kusafirisha kilo 332 za dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine inayomkabili mvuvi Ally Ally (28), maarufu Kabaisa na wenzake wanane umekamilika, mahakama imeelezwa. Wakili wa Serikali, Pancrasia Protas, ameeleza hayo leo Agosti 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, shauri hilo lilipotajwa mbele ya Hakimu…

Read More

The Cranes yaanza kwa fedheha CHAN 2024

TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imeanza vibaya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Algeria katika pambano la kwanza la ufunguzi. Katika mechi hiyo ya kundi C iliyopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Kampala, Algeria ilianza kupata bao la kwanza dakika ya 36…

Read More

The Cranes yaanza kwa fedheha CHAN

TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imeanza vibaya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Algeria katika pambano la kwanza la ufunguzi. Katika mechi hiyo ya kundi C iliyopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Kampala, Algeria ilianza kupata bao la kwanza dakika ya 36…

Read More