
Msuva: Stars itavunja rekodi CHAN
NYOTA wa Al-Talaba SC ya Iraq, Simon Msuva ameweka wazi matumaini yake kwa Taifa Stars, huku akisisitiza huu ndiyo wakati wa kuvunja rekodi zote mbovu na kutinga fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) ikiwa ni kwa mara ya tatu kushiriki mashindano hayo. Akiwa na historia ndefu ya kuitumikia timu…