TTCL KUJENGA MINARA ZAIDI YA 1,400 KUIMARISHA MAWASILIANO NCHINI
Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), CPA (T) Moremi Marwa, amesema katika mwaka wa fedha 2025/2026 Serikali kupitia shirika hilo imepanga kujenga zaidi ya minara 1,400 ya mawasiliano nchini, ikianza na minara 600 mwaka huu, na mingine 850 kufuata mwaka 2026/2027. CPA Marwa ameyasema hayo Agosti 24, 2025, katika banda la TTCL kwenye Kikao…