Waandishi wa uchaguzi kusajiliwa kwa ithibati ya JAB

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewahimiza waandishi wa habari kujisajili katika mfumo wa ithibati ya waandishi wa habari ili kutambuliwa na tume wakati wakitekeleza majukumu yao siku ya uchaguzi mkuu. Akisisitiza kuhusu usajili wa waandishi wa habari kwenye mfumo wa tume, Mjumbe wa Bodi…

Read More

Mfumo mpya kutoa taarifa za waharibifu, wezi mali za Tanesco

Dar es Salaam. Kutokana na uwepo kwa wizi wa mali na uharibifu wa miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), shirika hilo limeanzisha mfumo wa kupokea taarifa za siri (Whistle blower portal) ili kuwabaini wale wote wanaohusika na uhalifu huo. Mfumo huo umeanzishwa ili kurahisisha upokeaji wa taarifa kutoka kwa wananchi, wafanyakazi wa Tanesco na…

Read More

TMA YAKUSANYA KIJIJI NANENANE YATOA ELIMU KWA JAMII

:::::::: Na Mwandishi Wetu  Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetumia fursa ya Maonesho NaneNane 2025 Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni, Dodoma kutoa elimu kwa jamii kuhusu huduma zitolewazo pamoja na jukumu kubwa la TMA la kudhibiti shughuli za hali ya hewa nchini. Kupitia maonesho haya, wananchi na wadau mbalimbali wakiwemo wakulima, wavuvi…

Read More

Majaliwa: Rushwa bado tishio nchi za SADC

Arusha. Licha ya maendeleo katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), rushwa inatajwa kuwa tishio la usalama linalosababisha uhalifu uliopangwa, biashara haramu ya binadamu, ugaidi na mmomonyoko wa utawala wa sheria. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Agosti 4, 2025 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan,…

Read More

Beti Ya Kinara wa Ligi Christmas Unampa Nani?

LIGI zipo njiani kuanza na mpaka sasa ni siku 11 tuu zimebaki ambapo tayari wakali wa ubashiri Meridianbet wamekuwekea ODDS za kibabe pale EPL ambapo unaweza ukabashiri timu yako ambayo unaona itaongoza ligi siku ya Christmas. Nafasi kubwa ya kuongoza ligi siku hiyo ya Christmas yaani tarehe 25 Desemba anapewa bingwa mtetezi wa Ligi yaani…

Read More

DARAJA LA J.P MAGUFULI KUFUNGWA KAMERA ZA USALAMA.

:::::::: Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili kuhakikisha daraja hilo linalindwa ipasavyo na kudumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Hayo yameelezwa na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Ambrose Pascal, ambapo amesema…

Read More