
Sare yambeba kipa Madagascar | Mwanaspoti
KIPA wa Madagascar, Michel Ramandimbozwa aliibuka shujaa baada ya kuiongoza timu yake kulazimisha suluhu dhidi ya Mauritania, licha ya kucheza wakiwa pungufu kutokana na kuonyeshwa kwa kadi nyekundu ya kwanza katika mashindano hayo. Ramandimbozwa, ambaye aliibuka kuwa Mchezaji Bora wa mechi, aliwavutia wengi kwa ubora wake langoni na alifanya kazi ya ziada kuokoa mashambulizi ya…