
Beki Mtanzania ajumuishwa Morocco | Mwanaspoti
ALIYEKUWA nahodha wa Simba Queens, Violeth Nickolaus amejumuishwa kwenye kikosi cha FC Masar ambacho kipo Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Misri. Hadi sasa Masar haijamtambulisha nyota huyo wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, licha ya yeye mwenyewe kubadilisha utambulisho wake kwenye mitandao ya kijamii…