MAHUBIRI: Msaada mahubiri yanahusu Usikubali kupokea taarifa mbaya
Bwana Yesu asifiwe naitwa Mwalimu George Mbwambo kutoka Dar es salaam Karibu kwenye mahubiri ya siku ya Leo yenye kichwa kinachosema ‘Namna amani ya Kristo inavyofanya kazi kwenye maisha ya mtu” Kila mwanadamu hutamani kuishi maisha ya utulivu, usalama na furaha ya kweli. Lakini mara nyingi dunia hii hujaa misukosuko, hofu na mashaka. Watu wengi…