
Walimu wa awali na mzigo wa wanafunzi
Dar es Salaam. Uwekezaji katika elimu ya awali ni msingi muhimu wa maendeleo ya mtoto na Taifa kwa ujumla. Katika hatua hii ya maisha, watoto hujifunza stadi za msingi kama vile mawasiliano, ushirikiano na fikra bunifu, ambazo huakisi mafanikio yao ya baadaye kitaaluma na kijamii. Elimu ya awali huchochea ukuaji wa ubongo, huandaa watoto kwa…