
Simba inawachora tu kwa Mpanzu
WAKATI tetesi mbalimbali zikidai winga wa Simba, Ellie Mpanzu anaweza kuondoka dirisha hili, taarifa kutoka chanzo cha kuaminika Simba zimesema mchezaji huyo bado yupo sana na kesho Jumapili atatua baada ya awali kuomba udhuru kumaliza mambo akiwa kwao DR Congo. …