
Mwisho utumishi wa wabunge leo
Dar es Salaam. Utumishi wa miaka mitano wa wawakilishi wa wananchi katika Bunge la 12 umekoma leo, Jumapili, Agosti 3, 2025, baada ya kuhudumu tangu Novemba 13, 2020. Hatua ya kukoma kwa Bunge hilo, inatokana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwasilisha hati ya kulivunja, kwa mujibu wa Ibara ya 92(2)a ya Katiba ya Tanzania. Kukoma…