
Kagawa anukia Coastal Union | Mwanaspoti
UONGOZI wa Coastal Union unadaiwa kufikia hatua nzuri ya kuinasa saini ya aliyekuwa kiungo wa Geita Gold, Ally Ramadhan Kagawa akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na waajiri wake wa zamani. Kagawa amemaliza mkataba na Geita Gold ambayo inashiriki Ligi ya Championship na inaelezwa mazungumzo baina ya pande zote mbili yanakwenda vizuri huku muda…