
Stars yaanza kibabe Chan 2024, yaichapa Burkina Faso 2-0
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars, imeanza vyema Fainali za Ubingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani CHAN, baada ya kuichapa Burkina Faso mabao 2-0. Mabao mawili ya kila kipindi yametosha kuipa Stars ushindi huo muhimu, ikitawala vizuri mchezo huo ukipigwa leo Agosti 2, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar. Stars bao lake…