Kiungo Kagera ajitabiria Coastal | Mwanaspoti
KIUNGO mkabaji mpya wa Coastal Union, Geofrey Manyasi amesema anaamini msimu huu utakuwa mzuri kwa wana Mangushi na hayatomkuta yaliyomtokea msimu uliopita akiwa na Kagera Sugar. Manyasi amejiunga na Coastal katika dirisha kubwa la usajili msimu huu lililofunguliwa Agosti 15, 2025, akitokea Kagera Sugar iliyoshuka daraja kutoka Ligi Kuu msimu uliopita. Nyota huyo wa zamani…