August 2025
OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAAANDAA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULU
……………. Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) imeandaa kongamano la kitaifa la uchumi wa buluu ili kuwaleta pamoja wadau kujadili dira ya sekta hiyo. Kongamano hilo litafanyika jijini Dar es Salaam Septemba 10 hadi 11, 2025 na kuwashirikisha washiriki zaidi ya 250 kutoka sekta za uchumi…
Wadau wakutana kitathmini lishe | Mwananchi
Morogoro. Tathmini ya mapambano dhidi ya udumavu na upungufu wa lishe bora hasa kwa watoto chini ya miaka mitano na wajawazito, imebaini uwepo wa changamoto kadhaa ikiwamo uelewa mdogo wa wazazi na walezi. Hayo yamebainika katika kikao cha viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, wataalamu kutoka sekta mbalimbali pamoja na wadau wa lishe kuhusu…
WADAU WA UANDAAJI NA USIMAMIZI WA BAJETI KUBORESHA UTENDAJI
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Deni la Taifa, Bw. Japhet Justine, akiwataka wadau wa Uandaaji na usimamizi wa Bajeti kutoka Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali na Sekretarieti za Mikoa kutumia mafunzo waliyopata kuboresha utendaji, wakati wa kufunga mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma. Kamishna Idara…
TCCIA kuwakutanisha washiriki 600 maonesho ya biashara Mwanza
Mwanza. Zaidi ya washiriki 500 na wengine 100 kutoka nchi za nje wanatarajiwa kushiriki maonesho ya 20 ya Biashara kwa lengo la kufungua fursa kwa wafanyabiashara wa kada zote Afrika mashariki, yatakayofanyika katika viwanja vya Nyamagana mkoani Mwanza. Maonesho hayo yataratibiwa na Taasisi ya Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Mwanza…
Aliyedaiwa kumuua mumewe afariki dunia baada ya kunywa sumu
Mufindi. Elizabeth Kihombo (46), mkazi wa Kijiji cha Ihefu kilichopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, aliyekuwa anatuhumiwa kwa kumuua mume wake, Philimon Lalika (49), amefariki dunia akiwa anaendelea kupatiwa matibubu katika Hospitali ya Mji wa Mafinga. Tukio hilo limetokea Agosti 20, 2025 katika Kijiji cha Ihefu ambapo Elizabeth alimuua mume wake kwa kumchoma na kisu…
Majaliwa ataka mikakati iendane na mabadiliko teknolojia
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amevisihi vyama vya wafanyakazi barani Afrika, kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia duniani. Amesema kwa kufanya hivyo kutawawezesha kupunguza hatari ya kupoteza ajira kutokana na ujio wa mashine na matumizi ya teknolojia mpya ikiwemo za akili unde. Majaliwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo Ijumaa,…
MHE. RAIS AIPANDISHA HALMASHAURI YA BAGAMOYO KUWA MJI
Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kupandisha hadhi ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo. Aidha, ameitaka Wizara yake kukamilisha taratibu zote za kisheria ikiwa ni pamoja na kuitangaza katika gazeti za Serikali kukamilika mara moja.Mhe. Mchengerwa ametoa…
Kenya yatupwa nje CHAN 2024
TIMU ya Taifa la Madagsacar imeweka rekodi kwa kuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano ya CHAN 2024 baada ya kuifunga Kenya ‘Harambee Stars’ kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ndani ya dakika 120 kwenye Uwanja wa Kimataifa wa michezo wa Moi, Nairobi. Kenya ilianza mechi hiyo kwa…
Idadi ya waliokufa mgodini yafikia wanane, Rais Samia atoa maagizo
Shinyanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa viongozi wa Serikali waliopo maeneo ya ajali ya mgodini kushiriki taratibu zote za mazishi kwa watu waliofariki ajali ya mgodini na kuwasilisha rambirambi zake. Akizungumza leo Agosti…