Hospitali ya Rufaa Mkoa Mbeya yapata vifaatiba vya Sh9.6 mil kuboresha huduma
Mbeya. Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya imekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh9.6 milioni kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Hatua hiyo imetajwa ni sehemu ya kutatua changamoto katika sekta ya afya sambamba na kugusa eneo la elimu kama sehemu ya kurejesha asilimia 10 ya faida yake…