WATUMIAJI WA BARABARA YA CHAMWINO – DABALO
:::::::::: Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dodoma Mhandisi Zuhura Amani, ameleeza kuwa Serikali inaendelea kutekeleza ujenzi wa Daraja la mita 60 na upana wa mita 11.6, lililopo eneo la Nzali – Chilonwa, Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma ambalo litakuwa ni suluhisho la kudumu kwa wananchi wa Wilaya hiyo. Ameeeleza Ujenzi wa Daraja…