
WALINZI WANYAMAPORI WAPEWA ‘TANO” KUONGEZEKA WANYAMA BURUNGE WMA
Mwandishi wetu,Babati Mamlaka ya Usimamizi wanyamapori nchini(TAWA) kwa kushirikiana na Taasisi ya uhifadhi ya Chem Chem na halmashauri ya wilaya ya Babati, wameadhimisha siku ya walinzi wa wanyamapori Duniani, huku wakitaja mafanikio kadhaa ikiwepo kuongeza idadi ya wanyamapori eneo la hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori ya Burunge. Kila mwaka, Julai 31, Shirikisho la kimataifa la…