
Ushirikiano wa DSE, Tira kuongeza ufanisi sekta ya fedha
Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yenye lengo la kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kukuza bidhaa za kifedha bunifu, hasa suluhisho za bima zinazoweza kuorodheshwa sokoni, sambamba na kuboresha elimu ya fedha kwa umma. Akizungumza Ijumaa,…