
Fadlu aliamsha Simba, Kapombe akiachiwa msala
BAADA ya aliyekuwa nahodha wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kutimka kikosini humo inaelezwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amemwachia msala Shomari Kapombe kwa kupendekeza beki huyo mkongwe kuvaa kitambaa cha unahodha. Tshabalala ameondoka Simba baada ya miaka 14 na inatajwa…