
Kesi mtoto wa Askofu Sepeku dhidi ya Kanisa la Anglikana kuunguruma leo
Dar es Salaam. Kesi ya Bernardo Sepeku ambaye ni mtoto wa marehemu John Sepeku aliyekuwa Askofu wa kwanza wa Kanisa Anglikana Tanzania, inaendelea leo Ijumaa, Agosti 1, 2025 Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi. Bernado alifungua kesi ya madai Mahakama hapo, akipinga kunyang’anywa zawadi ya kiwanja alichopewa baba yake mwaka 1978 na kanisa hilo. Pia, anadai…