DKT MWAMBA AAGIZA KUZINGATIA MAONI,USHAURI ILI KULETA TIJA KATIKA MIPANGO.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt Natu Mwamba amewataka washiriki wa Mafunzo na Kikao Kazi cha Mfumo wa CBLS Uliyoboreshwa kuzingatia Ushauri na Maoni yanayoibuliwa katika kikao hicho ili kiwe kikao chenye Tija na Nyenzo muhimu katika kuhakikisha Mipango na Bajeti zinaandaliwa na kutekelezwa kwa…