
CCM ilivyobadili gia angani mchakato wa udiwani
Dar es Salaam. Wakati Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imeelekeza kurudishwa kwa watiania wote wa udiwani waliokuwa wameenguliwa wakapigiwe kura za maoni, wadau wa siasa wanasema uamuzi huo ni kiashiria kwamba kulikuwa na hila wakati wa uteuzi. Uamuzi wa sekretarieti umefungua milango kwa makada wote waliochukua fomu kuomba nafasi ya udiwani katika kata…